Chelsea v Man City nani mbabe leo


Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard huenda akashiriki katika mechi yake ya kwanza msimu huu , huku Pedro naye pia akitarajiwa kuchezeshwa baada ya kupumzishwa katikati ya wiki.

David Luiz atalazimika kukamilisha marufuku ya mechi tatu aliyopigwa huku Drink Water akiendelea kuuguza jeraha lake la mguu

Manchester City nayo itamkosa mshambuliaji wake matata Sergio Aguero ambaye alipata majeraha ya mbavu kufuati ajali ya gari huko Amstaerdam siku ya Alhamisi.

Benjamin Mendy anauguza jeraga la mguu huku Vincest Kompany akiuguza jeraha la kifundo cha mguu.

Comments