NUNUA GENERATOR KWA BEI NAFUU NA TUKULETEE BURE KAMA UPO DAR, MIKOANI PIA TUNATUMA
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo wanakuletea ofa ya kufunga mwaka ya punguzo la bei za Generator. Wapo Magomeni mapipa mtaa wa Idrissa, upo upande wa kushoto kama unatoka Kariakoo. Karibu na Butiama Restaurant. Generator hizi ni za kampuni ya Boss, sifa yake kubwa ni kua ni imara sana na zinadumu na ndio maana zimetokea kupendwa sana na watu. Kwa wakazi wa Dar pekee ukinunua Generator au bidhaa yoyote kutoka kwetu utaletewa bure hadi kwako. Kwa wakazi wa mikoani piga simu 0658184797 / 0752 184797 nikupe maelezo ya kupata generator yako. Unaweza kuona generator na bei zake
Generator hii inatumia diesel na inazalisha umeme wa 5.5kv. Bei yake ni 1,550,000
Generator hii inatumia Petrol na inazilisha umeme wa 5.5 kw Bei yake ni 1,400,000
Generator hii inatumia Petrol na inazilisha umeme wa 2.8 kw Bei yake ni570,000
Generator hii inatumia Petrol na inazilisha umeme wa 1.2 kw Bei yake ni 400,000
Generator hii inatumia Petrol na inazilisha umeme wa 2.2 kw Bei yake ni 550,000
Generator hii inatumia Petrol na inazilisha umeme wa 6.5 kw Bei yake ni1,250,000
Generator hii inatumia Petrol na inazilisha umeme wa 1.0 kw Bei yake ni350,000
Generator hii inatumia Petrol na inazilisha umeme wa 3.0 kw Bei yake ni 570,000
Generator hii inatumia Petrol na inazilisha umeme wa 3.0 kw Bei yake ni 700,000
Generator hii inatumia Petrol na inazilisha umeme wa 7.5 kw Bei yake ni 1,350,000
Generator hii inatumia Petrol na inazilisha umeme wa 3.5 kw Bei yake ni 820,000
Generator hii inatumia Petrol na inazilisha umeme wa 6.5 kw Bei yake ni 1,250,000
Generator hii inatumia Petrol na inazilisha umeme wa 5.5 kw Bei yake ni 1,200,000
Generator hii inatumia Dieselna inazilisha umeme wa 5.5 kw Bei yake ni 1,400,000
Comments
Post a Comment