Rais Magufuli atoa msamaha kwa wafungwa 3,319



Katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano, Rais wa Jamuhuri ya Muungno wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 3,319.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mamba ya Ndani, imesema kati ya wafungwa hao 585 wataachiwa huru leo na 2,734 wamepunguziwa adhabu zao na wataendelea kubaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo chao kilichobakia.

Soma taarifa hiyo hapa chini.

Comments