Skip to main content

HABARI Picha: Zitto aanika madeni na rasilimali zake

Picha: Zitto aanika madeni na rasilimali zake

1 min ago Comments Off on Picha: Zitto aanika madeni na rasilimali zake
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewasilisha Tamko lake la Rasimali na Madeni na Muswada wa Sheria kuwezesha Tamko la Mali na Madeni kuwa wazi kwa umma.

Comments