habari

Askofu wa kanisa la cgra ambaye pia ni mkurugenzi wa kitu cha matangazo divine fm ametoa salam zake za mwaka mpya huku akiwataka watanzania kubadilika kifikila katika mwaka 2018

pia mwemezi ameutabiri mwaka 2018 kuwa mwaka wa uzao kwa wakristo huku akiongeza kuwa watu wanatakiwa kuwa na imani za mafanikio.

hayo yote yamejiri katika ibaada kuu ya kufunga mwaka 2017 na kukaribisha mwaka 2018 iliyo fanyika kanisani kwake katika viwanja vya divene radio.

katia hali nyingine ameitaka jamii kuacha kujiita wapizani kwani neno upinzani ni kumpa nguvu ibilisi na badala yake wajiite washindani.

na nyamiti alphonce nyamiti

Comments