Yanga kwa mara ya kwanza yapata ushindi Mtwara

Kwa mara ya kwanza katika historia, Yanga imefanikiwa kupata ushindi kwenye ardhi ya Mtwara ikicheza dhidi ya Ndanda FC baada ya kuifunga 2-1 kwenye mchezo wa VPL uliochezwa uwanja wa Nangwanda Sijaona.

Kabla ya mchezo wa leo (Februari 28, 2018) timu hizo zilikuwa zinecheza mechi tatu kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona, Yanga haikuwahi kupata ushindi.

Comments