Wazazi Na Walezi Nchini Wametakiwa Kutoa
Malezi Bora Kwa Vijana Wao Katika Kipindi Cha Makuzi Ili Kuwawezesha Kuzifikia
Ndoto Zao Na Kutojiingiza Kwenye Vitendo Viovu Ikiwa Ni Pamoja Na Matumizi Ya Dawa Za Kulevya.
Wito Huo Umetolewa Na Naibu Waziri Wa
Ujenzi Ambaye Pia Ni Mbunge Wa Jimbo La Ushetu Mh Elias John Kwandikwa Katika Sherehe Za Jumuia Ya Wazazi
Kuazimisha Mika 63 Tangu Kuundwa Kwa Jumuia Hiyo Zilizofanyika Kimkoa Katika
Kata Ya Ushetu Iliyoko Halimashauri Ya
Ushetu Wilayani Kahama Huku Akilaani Vikali Mauaji Yanayoendelea Nchini Kwa
Watu Wasio Na Hatiya.
Akizungumza Kwaniaba Ya Mwenyekiti Wa
Wazazi Mkoa Wa Shinyanga Katibu Wa Wazazi Mkoa Bwanamasanja Salu Anesema
Kila Mzazi Anao Waajibu Wakulea Na
Kuwatimizia Mahitaji Watoto Wao Iliwaweze Kujiepusha Na Vishawishi
Vyakimazingira.
Kwaupande Wake Mwenyekiti Wa Chama Cha
Mapinduzi Wilaya Ya Kahama Mh Thomas Mnyonga Akaitaka Jamii Hususani Vijijini
Kuwapeleka Watoto Wao Shuleni Waweze Kuwa Na Urithi Ulio Bora.
Sherehe Hizo Zimeambatana Na Upandaji Wa
Miti, Uchangiaji Wa Damu Na Upimaji Wa Virusi Vya Ukimwi Kwa Hiyari Kwalengo La
Kusaidia Wagonjwa Wenye Uhitaji Wa Damu Na Kutambua Afya Kwa Wananchi Ambapo Zaidi
Ya Wanachama 10 Wa CHADEMA Wamerudisha Kadi Zao Na Kuhamia CCM
Comments
Post a Comment