Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kupitia kwa hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri amesema baada ya leo kusikiliza hoja zilizowasilishwa na upande wa Serikali na utetezi katika kesi inayowakabili viongozi wa Chadema, akiwemo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe washtakiwa hao wafikishwe mahakamani hapo Aprili 3 Mwaka huu.
Comments
Post a Comment