"Kama tumeweza kujenga ukuta wa Mererani wenye urefu wa kilomita 25 kwa kipindi kifupi, leo tunataka tuaminishwe kwamba tusubiri miezi 15 kuanzia april, kutandika bomba, maji yapo Ruvu haihitajiki kuweka zege mimi mwenyewe ni mhandisi najua, DAWASA tunataka maji Kisarawe sasa" RC Pwani
Comments
Post a Comment