Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Salum Mwalimu amesema maneno yanayoendelea mitandaoni kuhusu nafasi ya uenyekiti wa chama hicho uliopo chini ya Freeman Mbowe unatokana na hofu waliyonayo wapinzani wao kisiasa juu ya uwezo wa Mbowe hivyo wanatamani kuona aking'atuka katika nafasi hiyo. Mwalimu amesema kwa sasa Chadema kinamuhitaji zaidi Mbowe kwa kuwa ni mtu makini mwenye uwezo wa kuwavusha hapo walipo.
Comments
Post a Comment