Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini CHADEMA, Joseph Mbilinyi aka SUGU leo ametinga bungeni kwa mara ya kwanza tangu aachiliwe huru kutoka gerezani alipokuwa akitumikia kifungo cha miezi sita. Sugu alishangiliwa na wabunge wengi alipokuwa akiingia bungeni asubuhi ya leo.
Comments
Post a Comment