Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC, Helen Kijo Bisimba ameziita taarifa za yeye kuteuliwa kuwa mjumbe wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuwa ni uzushi na kwamba yeye hawezi kujiunga na chama hicho kwa kuwa siyo mwanachama wake na wala siyo mwanasiasa.
Comments
Post a Comment