VIDEO: Diamond aungana na wasanii wengine kifo cha Sam Ukweli




Msanii wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Palestina, Sinza jijini Dar baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Chanzo cha kifo chake kimelelezwa na Producer wake Steve kuwa “Sam alianza kuzidiwa toka J’mosi, tulipomuuliza anaumwa nini alisema ukimwi lakini sio ukimwi wa kawaida bali wa kulogwa”
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE.............

Comments