Baada ya Nyota wa Tanzania Diamond Platnumz kutoa nyimbo mpya aliomshirikisha Rayvanny inayoitwa IYENA mama mzazi wa msanii huyo ameonyesha kuguswa na wimbo huo na kumkumbuka Aliekuwa Mkwe wake Zari the boss lady baada ya kuonekana kwenye video hiyo na kuonekana mama huyo akimsifia na kuonyesha kuwa ndie mwanamke aliekuwa na sifa ya usafi, lakini kwa upande wa dada wa Diamond platnumz anaeitwa Esma nae alionyesha kuungana na mama yake lakini kidoogo alikuwa na utofauti kwa kuongezea kuwa Wema alikuwa fundi jikoni.
Comments
Post a Comment